Clothing Line

Tangu 2007,Tunavalisha Wabongo waliopo Dar City,Mwanza na Arusha.kutokana na Kupendwa kwa mavazi yetu,tumeamua kuanzisha blog hii ili tukutane na wadau wetu na tuweze kubadilishana mawazo kuhusu mitindo ya mavazi yetu TeeZee Clothingline na wabunifu wengine hapa Tanzania,kiukweli TeeZee Clothingline bado ni changa na inahataji kusambaa Tanzania nzima ili kila mmoja aweze kufurahia mavazi yetu.

Kwa sasa tutakuwa tunawapa habari zote za moto na muhimu kuhusu mitindo tunayobuni na wapi inapatikana na kwa bei gani,pia tutakuwa tuna-post picha tulizo tumiwa na wadau wetu wakiwa wamevaa TZ ,usipimeee!!

Mbali na kuuza Mavazi pia TeeZee Clothing,Ina dhamini/valisha wasanii kwenye Videos au Photo Shoot.Unachotakiwa ni kupiga simu ili kuweka booking na kuzungumza kuhusu unachopenda!!
Vyuo ambavyo tayari tuna wawakilishi ni:UDSM.UDOM.MWALIMU NYERERE.CBE (Dar)
Search Us On FB:”TEEZEE BRAND” “Kallow Vibes Localz”
Bei Zetu:

Vikombe @ 10,000/=
Top @ 15,000/=,
Round Colar 15,000/=,
Polo 25,000/=
Order 10-15PC Get Discount:@ 1,500/-
OCTOBER 16 UPDATE.
Bei ziki badilika Tutatoa taarifa:
NOW AVAILABLE:JUST CONTACT US

Advertisements

Responses

  1. 2pia bac sample ya polo(4m6) 2isaminishe..af colour niaje zpo varieties au ndo hyohyo 1?

    • Nimekusoma mzazi polo zilitoka 4pc,imebaki 1 yellow.but more coming,Updates coming

      • aaaya! sasa mzaz mi na yellow ha2patan kabsaaa,plz try 2 chek if i can get any othr colour but must not b yellow or white….NB: my favorites r black&brown..

  2. nimekusoma vivo,i got ur order!!pamo-jah


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: